Bro. Hizi chips utakuwa ume download Google. Asubuh yote hii.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata wewe unatumia hii Missyrose???[emoji39]
Safi sana, ukimaliza hii unapiga na kale kakonyagi kasichana [emoji3]. Niko vzr sana
Hata wewe unatumia hii Missyrose???
Mhhh!! U-Miss upo kweli?? Na hii mboga ni shida sana kwenu kwa upande wa body fats!!Natumia kwa mbaali babu
Astaghafilullah..!!!!
Mhhh!! U-Miss upo kweli?? Na hii mboga ni shida sana kwenu kwa upande wa body fats!!
[emoji8][emoji28] [emoji28] natumia kwa mbali sana, labda mara 2 au 3 kwa mwezi. Haijaathiri u-Miss wangu hahah
Nyama zote hizo unakula mwenyewe
Huu uzi nitakuja nikiwa sina njaa