Umechelewa mkuu lako halipo tena, pambana na hali yakoAma kwel, kumbe mnaniombea nichelewe ili nsipate.
Na kweli nimechelewa na mimekosa[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo napambana hivyoUmechelewa mkuu lako halipo tena, pambana na hali yako
Happiness is a lifestyle
Mkwe kwa nn hukupiga hata simu ya mezani???
Ndo naona sa hii, jana nlikuwa busy plus furaha ya ushindi wa chama langu la simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimekosa hiii, lakin mkwe si una fridge si ungeweka tu ningekuja kupasha tuMkwe nilikua nikupigie kwa walkie talkie sema imeisha batteries[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata ondoa shaka, ntabeba sufuria zima litoshee familia yote
Umepata ondoa shaka, ntabeba sufuria zima litoshee familia yote
Dah nimekosa hiii, lakin mkwe si una fridge si ungeweka tu ningekuja kupasha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana tafuta siku utest mkuu hope utakua mwanachama mazima
'Ajaab walah'[emoji108]
[emoji14][emoji13][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1046695
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi kabla ya chai.maji Lita mbili+banana+nuts.View attachment 1048084
Ukifanikiwa utashangaa jinsi inavyoboost energy for the whole dayHivi mnawezaje kunywa maji asubuhi jamani!
Nimejaribu napatwa na kichefuchefu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikiwa utashangaa jinsi inavyoboost energy for the whole day
Dada ushawahi kula makande ya mahindi mabichi?
Dada ushawahi kula makande ya mahindi mabichi?