Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Mkuu mboga za majani hapo ndo zimepunguaCha muda huu, ndio kwanza nimetoka jikoni 00:11
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji124]
Kweli kabisa, hiyo ilikuwa saa 6 usiku then ndio nomerudi nyumbani, ikabidi nitpke kidogonikanunue samaki tu.Mkuu mboga za majani hapo ndo zimepungua
Eeee masafyo uuu[emoji39]Masafyo ya nguwe
Wapendwa karibuni, tule mboga kwa ugali[emoji116]
[emoji91] [emoji91] kimetoka jikoni sahv[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pilau sausage?
Ndivyo inavyotakiwa, ugali uwe kidogo mboga draft.mkuu asee hapo umenishika kabisa, mimi huwa nakomba mboga sana na huwa napenda ugali mdogo mboga nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pilau sausage?
Kweli eehh!!? Ngoja Wajukuu waniandalie siku moja,then nitaleta mrejesho[emoji111][emoji23] [emoji23] [emoji23] kujaribu hakuna mwisho. Tamu balaa.