Hiki ni chakula gani
Ichi chakula nakipenda
Izo Ndizi zinapiga mbizi
Hapo sasa upate juice ya bariidiMapochopocho ya janaView attachment 1109095
Weka na Coca inakuwa kampwi,kampfu km kengele church,bwii braaaah,mpwi mishuzi hiyo km yoteNayapenda yakizidi maharage kidogo halafu mahindi yanakuwa na ile rangi ya maharage niweke na ovacado acha kabisa huwa sishibi [emoji23][emoji23]
Ni mchanganyiko wa samaki wa aina mbili salmon na haddock,vipande vyeupe ni cheese nilikuwa nikitengeneza fish pie.Hiki ni chakula gani
Weka na Coca inakuwa kampwi,kampfu km kengele church,bwii braaaah,mpwi mishuzi hiyo km yote
Location plzzzzzz[emoji14]
What the hell is this??
Aya ni maua au ni chakula ndio maana akina james delicious wanakua wengi kwa ajir ya izi delicious food
Kitu ya singida iyo mahindi mabichi na maharageIchi chakula nakipenda
EeeKitu ya singida iyo mahindi mabichi na maharage