Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Unaonekana umri umesogea kiongozi
Jamani jamani msitufanyie hivyo
Mmh fish pie,sijawahi iiona nilijua pie ni Kwa cake tu kumbe hata Kwa fishNi mchanganyiko wa samaki wa aina mbili salmon na haddock,vipande vyeupe ni cheese nilikuwa nikitengeneza fish pie.
Oke 👐Aya ni maua au ni chakula ndio maana akina james delicious wanakua wengi kwa ajir ya izi delicious food
Kabisa! Wanafikiri ndio kula vizuri kumbe ukila tudona+ tembele+ tuarage ndio mpango mzima,Mimi hizo habar za kula sijui mi baga nawale Ndugu zake nimeacha
Aloo watu ni wachunguzUnaonekana umri umesogea kiongozi
Duru ya uchunguzi.Aloo watu ni wachunguz
Mh hiyo ndizi pembeni imetoa clue hizi picha zatoka wapi.
Nakuhurumia 😄😄 ndo maana sijapostLeo sijakuona rafiki