siyapendi hayo madude sijui viazi nini,......Yummy yummyView attachment 1122869
Asante kwa msosi apo plantains + sato na iyo pili pili utakuwa umejilamba kweli kweliDah... Afazali leo... Maana nilikuwa nishajiandalia maumivu View attachment 1126774
Hii stew inaonekana ina ma spice ka yote
Hivi vyote watu wanne tu
Ndiyo,naona sahani 4 apoHivi vyote watu wanne tu
Mi nimeona mayai kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo,naona sahani 4 apo
Ni wapi jamani?