UsafuGood Mornee brothers and sisters..!View attachment 1160238
[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]Hii sijui dina au bfast saa hzView attachment 1160946
Aisee [emoji848][emoji848]Hii sijui dina au bfast saa hzView attachment 1160946
Huu msosi unatia huruma kinoma..
Yani unakunywa maji yenye harufu ya limao for breackfast af mchana unakula hivi... hakika siku yako lazima iwe na masaa zaidi ya 24[emoji1][emoji1][emoji1]
Sijui hata nini kimenifanya nikachelewa kuona hivi.... Kimeshakuwa kiporo sasa[emoji52][emoji52]..
Hahaha polee, usubiri sasa siku nyingine tena tupate muda wa kupika hivyo.Sijui hata nini kimenifanya nikachelewa kuona hivi.... Kimeshakuwa kiporo sasa[emoji52][emoji52]..
Mnh hichi hata kooni hakipiti