Ila hakuzidi[emoji12]Dada demiss unajua kupika
[emoji23][emoji23] hii kitu nakumbuka nilivyokua mdogo nilikua azikusanya Nazi rusha juu yabati chap ila now days ndo nazipenda balaa
Offcoz[emoji848]Ila hakuzidi[emoji12]
Hainogi kabisaHuwa sipendi kolabo ya samaki na nyama
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mikate mshana ni panya huyo?
Madame S
J v ,d ,
Ha ha ha ha ha [emoji887][emoji887]
Wao strawberry hizo... Moro I guessFresh from the sourceView attachment 1181456
Chief hapa ndio umenikamata, nayapenda sana.Fresh from the sourceView attachment 1181456
Mbeya hiyo mkuuWao strawberry hizo... Moro I guess
Apo mkuu ita depend na production quantity maana huwez export small quantity ambayo utajikuta handling cost hai relate hata na profitHii biashara hii akiweza kuzifikisha dar zikiwa fresh ni fursa adhimu sana kibiashara