Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Naona unakula katikati ya mchana na usiku
Naona unakula katikati ya mchana na usiku
Mpishi anaonekana MaashaAllah hilo harage tu [emoji1476]
Aisee pole sana mzeeShughuli nyingi mkuu ndoimetoka hiyo mpaka kesho
Aisee pole sana mzee
Defo man.Rehab after night long fatigue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji123][emoji109]
Hii ndiyo menu ya kiume.Mboga7yakiswazi[emoji16][emoji16]View attachment 1174963
Hawa wadudu ndo wanaitwaje vilee[emoji848][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1188786View attachment 1188787
Ah kumbe ni binti,sikuangalia kapichaSante kijana
Ah kumbe ni binti,sikuangalia kapicha
[emoji849]Weewe ntakuchapa