MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kwenye hii idara nadhani wewe ni meja jenerali.
Hahaha, mzee hiyo sharubati si utengeneze mwenyewe kuliko kununua ya dukani ??? Halafu unapiga na matunda kabisa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1256448 mkuje na pilipili Kingsmann
Jana ilikuwa birthday yangu View attachment 1281788
Before & After [emoji847]View attachment 1265095View attachment 1265096
Nguvu za kiume Baharia[emoji23][emoji23][emoji23]Napenda sana kula hii kitu sijui nina matatizo gani![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1259800
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eh..hamjala tangu juzi
Hayo matobo yanatisha, matobo yameshiba balaa!
Mimi pia huu msimu huwa naenjoy sana haya matunda.Nanasi ndio breakfast yangu sikuhizi mpaka msimu huishe [emoji23][emoji23][emoji23] napiga nanasi moja Kila siku asubuhi
[emoji122][emoji122]uko vizuri
[emoji122][emoji122]uko vizuri