Si ungetumia hata kijiko mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwiko umekatika
Mdudu handsome [emoji85]
Mdudu handsome [emoji85]
Mbona kama siku ya engagement hii?[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchana ndo huu jamani muda wa lunch
Noma sana.. Ile mzee baba mpaka brake hamuachii hata mbwa wakata brake [emoji23] [emoji23]
Karibuni tubonyee..
Watu wembamba kwa kuficha nawakubali sana ,ila sijui chakula wanakihifadhi sehemu gani ?mi nahisi wana kamfuko kengine zaidi ya tumbo.Balaa lake akiingia toilet ndio utajua kuna shughuli,kama unaharaka inabidi tu uwe mpole..
Mchana ndo huu jamani muda wa lunch
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] ionee huruma minyoo yangu