[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1350459View attachment 1350462View attachment 1350465mihogo ya kuchemsha kwenye nyama nimekula kama breakfast
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siyo kila siku kukaanga mchuzi mwekundu au dark siku nyingine chuku chuku kama hizi hapo na wali, leo naimalizia na ugali. View attachment 1350476
Sent using Jamii Forums mobile app
Pilau dada
hii kitu ni hatari jamani taste yake nzuri.View attachment 1350459View attachment 1350462View attachment 1350465mihogo ya kuchemsha kwenye nyama nimekula kama breakfast
Sent from my iPhone using JamiiForums
kitu basmat eeenh.
Nimeona mboga tayari
Jr[emoji769]
Hiyo mboga kiporo cha jana namalizia leo na ugali. Ugali nitasonga baadae nao niuweme? Ila nyumba yangu hawapendi ugali wanasusa hawali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najikuta nakula mwenyewe.
Lakini namuambiaga dogo ukiwa na kwako utachagua msosi haoa unakula ninachotaka mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
mie mpenzi wa ugali kuliko wote nyumbani unajikuta unakula pekeako tu.Hiyo mboga kiporo cha jana namalizia leo na ugali. Ugali nitasonga baadae nao niuweme? Ila nyumba yangu hawapendi ugali wanasusa hawali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najikuta nakula mwenyewe.
Lakini namuambiaga dogo ukiwa na kwako utachagua msosi haoa unakula ninachotaka mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
mie mpenzi wa ugali kuliko wote nyumbani unajikuta unakula pekeako tu.
Afternoon smoothie.
1 Banana ,2 mangoes and 250ml vanilla yoghurt mixed with pinch of sugar. View attachment 1350627
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki unakula sana! Hii si nyama kilo moja hii?