Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Moto ulizidishaKeki nimejaribu kupikia kwenye jiko la mkaa.
Imeungua lakini imechambuka.
Na tamu sana aiseee wakati ujao haitoungua tena maana nishajifunza moto unatakiwaje.
@mishilView attachment 1347508View attachment 1347509
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uje udoee[emoji3][emoji3]nataka nikutembelee kwako[emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mzee naona unabonya tu keyboard[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1361700
Ni wivu tuuu!Mzee naona unabonya tu keyboard
[emoji7][emoji39]Wali nazi namakange ya kuku na juice ya embe View attachment 1358619
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39] mate yamenitoka!
hahahhah siwezi kuteseka pekeangu[emoji39][emoji39][emoji39] mate yamenitoka!
ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
Asubuhi hii nimeandaa supu ya popo, karibuni wote![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1366808
Mwanaume wa Dar!! Sasa msosi gani huo?Karibuni Nyooooooote
Mkwe farkhina pita mbele kuna reserved siti yako huku. View attachment 1367099
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni Nyooooooote
Mkwe farkhina pita mbele kuna reserved siti yako huku. View attachment 1367099
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji39]Karibuni Nyooooooote
Mkwe farkhina pita mbele kuna reserved siti yako huku. View attachment 1367099
Sent using Jamii Forums mobile app