Cravings [emoji39]Rafiki LadyRed karibu tupunguze uzito![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1370495
Anayejua hiki Ni kitu gani asemeView attachment 1063803
Vyakula bahari ugonjwa wangu... Na kisamvu pia
Jr[emoji769]
Kuna watu wazima nliwasikia wasema usiseme hupendi chakula fulani hujapata tu mpishi hasa wa hilo pishi.
Itakua hujapenda tu hayo mapishi na si biriani yenyewe.
Hupendi chakula hupendi mapishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni chapati au ujinga?Leo napika chapati.
Zikiiva kaeni mkao wa kula.
Mtaalam wa hizi kazi nishafika.
View attachment 1344051
Sent using Jamii Forums mobile app
Humo ndani ya hayo mabox kuna nini?
Wafundishe kazi wanaume wa Dar..Am kidding