Itabidi ulaniwe kwa kuanzisha huu uzi Wa mateso. Huna nia nzuri kabisa mkuuKuna wakati natamani kuukimbia huu uzi.. Maana kwa njaa niliyonayo na huku nilipo, haya ni mateso bila haki
Senene haoMazaga gani haya?
Moja ya chakula changu ninachokipendaa
Duhh!! Full ubunifu
Mbona hauna maharage?