Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mbogamboga na matunda ziko wapi? Utaanza kujisaidia mawe muda siyo mrefu!
Mbogamboga na matunda ziko wapi? Utaanza kujisaidia mawe muda siyo mrefu!
Harage linaonekana tamu balaa
Mimi kazi yangu ni kutafuta mboga na matunda ziko wapi!
Made from home View attachment 1406663
Kuku anavutia balaaa[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1406982
hivi ni Mimi tu ambaye nikiangalia nashikwa na njaa au tuko wengi??😜😜[emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]