Vitu vyako adimu
Ahsante kwa kunitamanisha.....nimependa
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] sawa mzee kijana
Safiiiiii,chakula cha nyumbani hichi
Hii safiiiii
Inaonyesha tu nikitamu [emoji39]
Home made..tamu.
My favourite food lmao
Hahahahha[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] misosi ya hivi unaweza kuifuata mbali kabisa asikuambie mtu chakula kitamu ndiyo mpango mzima hata laki nitalipia [emoji14] [emoji14]
Mdogo wangu donnie yen..Hii kitu inaitwa Mandi Handhramut... nao pends sana Na wala huishibi haraka maana wali wake hauna mafuta ( it’s like steamed rice cooked by its own lamb soup)
Hii naomba unifahamishe nataka niifanye home.
Home made..tamu.
Hii naomba unifahamishe nataka niifanye home.
Embe lililoiva, parachichi na vanilla kama unayo(sio lazima). Una blend pamoja, unaweza kunywa kama juice au kugandisha kama nilivyofanya hapo
Waow! Vyote vipo, ahsante[emoji106] [emoji106]