Hii inaitwa ku boost enzymes wafanye kazi ya kutia njaa.....Kutamanishana tuu
Haya nasubiri mrejesho[emoji1]
Juice hiyo hapo, karibuni chakula.
Ile nyingine nimegandisha.
Hii hata mimi naweza kutengeneza jamani loh nitakula kwa macho hadi liniEmbe lililoiva, parachichi na vanilla kama unayo(sio lazima). Una blend pamoja, unaweza kunywa kama juice au kugandisha kama nilivyofanya hapo
Ngoja nikifika home nikuoneshe jinsi ilivyoganda utraaam[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hii hata mimi naweza kutengeneza jamani loh nitakula kwa macho hadi lini
Dah wakati mimi niko huku View attachment 638192
Sio arage Mkuu?Hindi hilo[emoji39]
Mhhhhh[emoji39] [emoji39]
Kitu harageeee