Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Karibu tuchangamshe mdomoHaka kamsosi kanavutia mno
Jr[emoji769]
Nahobhoka pakukubhona Sona panu.
Mimi nilitegemea baada ya ule ugali utakaa siku mbili bila kula,kumbe wapi..Am kidding[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilitegemea baada ya ule ugali utakaa siku mbili bila kula,kumbe wapi..Am kidding[emoji23][emoji23][emoji23]
Baki hivyo hivyo,ukinenepa sana kupungua ni kazi ajabu..mimi kazi yangu ni kuangalia tu vyakula vyenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huyu nikae bila kula,Mimi!
Never[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka kuongeza mwili,nifundishe mbinu rahisi za kuongeza mwili
Halafu mbona sioni ukipost,au wewe mchoyo[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kubaki hiviBaki hivyo hivyo,ukinenepa sana kupungua ni kazi ajabu..mimi kazi yangu ni kuangalia tu vyakula vyenu
Mbinu rahisi ni kuongeza kula,kama mwili wako una shukrani utanenepa tu..Supusupu,mayai,wanga kiasi..utanenepa tuSitaki kubaki hivi
Nataka niongezeke kidogo tu japo kilo 5-10.
Nipe mbinu hapa[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba usinambie mbinu ya kula.Mbinu rahisi ni kuongeza kula,kama mwili wako una shukrani utanenepa tu..Supusupu,mayai,wanga kiasi..utanenepa tu
Ndagha mukamu nene nahobhoka aketefu challengeNahobhoka pakukubhona Sona panu.
Nune ngumpalisha uchala,ngweshela
Akundula amashiku ghoshi,ndi mukafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaNdagha mukamu nene nahobhoka aketefu challenge View attachment 1455484
Sent using Jamii Forums mobile app
sidhani kama kuna mbinu nyingine nzuri tofauti na hii..
[emoji26]sidhani kama kuna mbinu nyingine nzuri tofauti na hii..
Kuna vidonge lakini siwezi kukuambia,maana sio rasmi na vinaweza kuleta complication nyingi..Am sorry
Complications zipi hizo?Kuna vidonge lakini siwezi kukuambia,maana sio rasmi na vinaweza kuleta complication nyingi..Am sorry
Lol[emoji119][emoji119]infertility(utasa) n.k