[emoji39][emoji39]Karibuni eid nimemaliza kupikaView attachment 1458335View attachment 1458336View attachment 1458337
mama wawili
Uzalendo umenishinda nimapakua kuonja[emoji39][emoji39]
[emoji3]Location please!!??
Muda sio mrefu nakulipa! [emoji39][emoji39]Karibuni eid nimemaliza kupikaView attachment 1458335View attachment 1458336View attachment 1458337
mama wawili
Mungu anakuona..
Nilisahau [emoji87][emoji87][emoji87] Nimekuja kukumbuka wakati nakaribia kumaliza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]View attachment 1458471
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Hapana, kwanini?
Naona umenilipa kitu cha siniaMuda sio mrefu nakulipa! [emoji39][emoji39]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Walipakuliwa watoto hapo [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]Naona umenilipa kitu cha sinia
mama wawili
Woow..View attachment 1458480
View attachment 1458481
View attachment 1458482
View attachment 1458483
Nimekula ndio nikakumbuka kupiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Woow..
Wanawake wanaojua kupika hivi wanapatika wapi??
Maana dada zangu wachaga,mchemsho sio mchemsho,,rosti sio rosti..yaani
#KakantilieView attachment 1458545
Naam! Karibu la kibachelaumepika mwenyewe?