Naam! Karibu la kibachela
Umewazidi wanawake waallah
Lakin sikushangai mie baby anajua kupika vyakula aina nyingi sana
Hahaha! Asante,Umewazidi wanawake waallah
Lakin sikushangai mie baby anajua kupika vyakula aina nyingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi bado hajarudi tu?[emoji28] [emoji28]Nilimfungia asipate korona, kesho namuachia aende Disko[emoji23]
#TukachatiNyumbani[emoji28][emoji28]
Ewaaaara[emoji7][emoji39][emoji91][emoji91]Karibuni eid nimemaliza kupikaView attachment 1458335View attachment 1458336View attachment 1458337
mama wawili
Maharage hayana ushirikiano kama ya boarding duh yamesimama ka vidoleWali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maharage hayana ushirikiano kama ya boarding duh yamesimama ka vidole
Sent using Jamii Forums mobile app
yes kuna kitu nilikuwa namuuliza na kanijibu vyema kabisa
Asante