Uzi wa vyakula tu

Njia za asili zimenishinda kabisa..na hivi dkt ananiambia nisifanye mchezo kwenye kula.
Nitazitumia hata kidogo tu ili nile Sana nipone hivi vidonda vya tumbo.
MUNGU MKUBWA. Dada pole Sana kwa kuumwa. Hata mie nimepitia huko na Leo hii natengeneza dawa ya kutibu Ulcers moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo. Muda si mrefu nitakuwa nimekamilisha taratibu za serikali Inshaallah. Karibu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…