Dinner TimeView attachment 1486978
Samaki samaki hii sio
Samaki samaki hii sio
Dah food presentation matter me ukinipakulia hivi sili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]angalia upakuaji yaan hata kama nindagaa na bamia ila inavutiaView attachment 1487042
Majani ya maboga hayomboga aina gani hizo?
Majani ya maboga hayo
Hah, kumbe yana jina lingine, mie nayajua kama pitiku"....Wangoni wamenifundisha kuyaweka unga wa karanga yanakuwa matamuu, hii mara ya pili nakula😄msusa nayapenda sana
Siku ukikosa unga wa karanga tumia hata peanut butter inapendezea 😋Hah, kumbe yana jina lingine, mie nayajua kama pitiku"....Wangoni wamenifundisha kuyaweka unga wa karanga yanakuwa matamuu, hii mara ya pili nakula😄
Me mwenyewe nayajua kwa jina ilimsusa nayapenda sana
Hiyo ni nyama kitunguu au umeroast?
Mboga tamu.. Naipenda mno [emoji23][emoji23][emoji23]tatizo mvivu kuchambua mboga za majaniDinner TimeView attachment 1486978
Huyo samaki anaonekana ni mtamu Kapikwa vizuri, ngoja nikipita dom unipe locationhapana Dodoma hapo
Maharagwe na pilipili ugali/wali asikuambie mtuUgali maharage View attachment 1487174
Acha kabisa utamu wake [emoji39][emoji39]Maharagwe na pilipili ugali/wali asikuambie mtu
Me mwenyewe nayajua kwa jina ili