Huyo samaki anaonekana ni mtamu Kapikwa vizuri, ngoja nikipita dom unipe location
Dinazarde kazi imeisha ila ntaifanya tena mwakani siku kama ya leo [emoji20]View attachment 1487198
nimefuata maelezo yote sijaacha ata kimoja wife kafurahi naona kapata mpishi mwenzake, Sasha kwanzia kesho mpaka mwakan siku kama ya leo ndio ntapika tena[emoji23][emoji23]thats nice
Umetia nazi ee?
Umepika vizuriu sanaa
Ehee wife kasemaje katoa maoni gani?
Sawa, asante kwa ukumbusho Chef D'🤗Siku ukikosa unga wa karanga tumia hata peanut butter inapendezea 😋
nimefuata maelezo yote sijaacha ata kimoja wife kafurahi naona kapata mpishi mwenzake, Sasha kwanzia kesho mpaka mwakan siku kama ya leo ndio ntapika tena[emoji23][emoji23]
😆sio siri yanaleta uvivu kuchambua...ila mara moja moja sio mbaya ukajipendeleaMboga tamu.. Naipenda mno [emoji23][emoji23][emoji23]tatizo mvivu kuchambua mboga za majani
Hahahaa ntakua nafanya tu kama sehemu ya kujifunza na siku nikitaka kupika tena ntakuja unipe material mampya ya kupika.hey mbona mwakani mbali loo fanya hata kwa mwaka mara tano
Safi sanaaa Harder
Hahahaa ntakua nafanya tu kama sehemu ya kujifunza na siku nikitaka kupika tena ntakuja unipe material mampya ya kupika.
Dah na me ndo nlitaka kuuliza jaman asbh hii hatunywi chai? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1487450
Napenda maziwa ila ndio yananikataa leo liwalo na liwe tu
Ila ukibakisha ntag nije na soda kushushiaView attachment 1487450
Napenda maziwa ila ndio yananikataa leo liwalo na liwe tu
Ila ukibakisha ntag nije na soda kushushia
Ukiwa five star ni around 35k ila home ni 3500The [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1487500
Chini yake Kuna smashed potatoes sandwiched with cheeseHizo hoho na karotii woiiii nazipenda
Hiyo ni mkate eti ilokatwa vipande
Chini yake Kuna smashed potatoes sandwiched with cheese View attachment 1487691
Lunchtime View attachment 1487692
Lunch!! Au kuna mwingine ulipunguza ukaweka kando?Lunchtime View attachment 1487692