Uzi wa vyakula tu

Maziwa fresh sio mazuri maana ukiyanywa tumboni yatatengeneza uchachu ambao ni Kama acid na kukuunguza tumbo

Vitu vinavyotoa relief kwa maumivu ni Parachichi lile laini, ndizi mbivu na penda sana kunywa maji ya dafu ni mazuri
Huwa natumia maziwa fresh
Maziwa ya mgando sinywi kabisa..hivi na fresh hayafai??

Akhsante kwa ushauri mpenzi [emoji120][emoji120]
Nitazingatia..
Ubarikiwe.
 
mi huwa nikiwa Dom lazima nipite chief Asili karibu na jengo la bima
Ukitoka nyerer square tuseme kwa nyuma yake unavyuka mistari ya majengo kama matatu kisha hapo
Hivi pale ni "Chef Asilia" au "Chief Asilia".

Umenikumbusha mbali sana, mwaka fulani kulikuwa na mradi kule, sasa tukawa tunaenda sana pale kula Mandi Mbuzi, Juice ya Tende, sasa ikatokea muhudumu mmoja tulivgokuwa tunatoka akatuuliza "Hivi mabro nyinyi mnafanya kazi wapi". Tukamwambia "tunatumia hela za urithi". Maana alijiuliza hawa vijana wadogo wanakuja hapa karibu kila siku.

Nakumbuka Mandi mbuzi mwaka ule sahani ilikuwa Tsh 14,000/- na Juice ya Tende Kombe kubwa Tsh 6,000/-. Ule Mgahawa naukubali sana.
 

nikienda tena nitaangalia ni chef au chief
Wanajitahidi sana hata mbuzi yao ni balaaa
Kasoro kuku sijala pale
Bei zao si haba kwa kweli loo mkienda watatu mnaweza acha bill 85000 au 90 elf wakati mnkunywa juice tu na samaki chips kavu
 
nikienda tena nitaangalia ni chef au chief
Wanajitahidi sana hata mbuzi yao ni balaaa
Kasoro kuku sijala pale
Bei zao si haba kwa kweli loo mkienda watatu mnaweza acha bill 85000 au 90 elf wakati mnkunywa juice tu na samaki chips kavu
Umesema kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…