dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Ya ng`ombeDamu???[emoji849]
Damu ya nini?
[emoji39]
kitu cha supu ya mende
View attachment 566192
Siwezi kula damu.Ya ng`ombe
Waonekana mboga 7, ya nini diet?
Nangoja kiepe chako hapa[emoji39]Siwezi kula damu.
Halafu maandiko yanakataza
Siku hizi nakula Cafe hata kupiga picha niliachaNangoja kiepe chako hapa[emoji39]
Hahahaha sawa sawaSiku hizi nakula Cafe hata kupiga picha niliacha
Weka picha za vyakula mkuu nisafishe machoHahahaha sawa sawa
Hahaha!Siwezi kula damu.
Halafu maandiko yanakataza
Hahaha keshoWeka picha za vyakula mkuu nisafishe macho
Sawa bossHahaha kesho
[emoji4]Hahaha!
Nimependa jibu lako
Nilikua shamba, hata mtandao nao ilikua ishu sasa nimerudi[emoji4]
Siku hizi hupost huku
SawaNilikua shamba, hata mtandao nao ilikua ishu sasa nimerudi
Naona ile misosi yetu ya kibabe imerudi[emoji4]
Hahaha!Naona ile misosi yetu ya kibabe imerudi[emoji4]