I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Mkuu haya si mafuta lakini au me ndo sioni vizuri
unaweza kuwa sawa mkuu, but hapo kuna 2 in 1Mkuu haya si mafuta lakini au me ndo sioni vizuri
Hayo matunda macheche Sana.Na sikushiba yaani[emoji3]
Hayo matunda macheche Sana.
Kuku Kama huyo piga na sembe [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh kumbe, basi naona hapo ulipo una ndambi ya kutosha mkuu! [emoji23][emoji23]unaweza kuwa sawa mkuu, but hapo kuna 2 in 1
Hapana kitambi sina ila ndio nakitafutaOoh kumbe, basi naona hapo ulipo una ndambi ya kutosha mkuu! [emoji23][emoji23]
Haaahh nakubali mkuu kitafute tu, kina heshima yake hicho hasa ukweni [emoji23][emoji23]Hapana kitambi sina ila ndio nakitafuta
TrueYah
Mimi huwa siwezi kula ugali nikaridhika Kama Kuna mboga chache.
Huwa napenda ugali uelee kwenye mboga
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1521948
Wkendi imeanza
Mtaniua shekhe 😋😋😋
Naomba uamke tule babe😋