Kinatamanisha kwa kweliView attachment 1565142
Dagaa wa Nazi
Ukipata dona na mtindi na kamchicha pemben duhhView attachment 1565142
Dagaa wa Nazi
Kilo 80 kwa mwanamke lazima utakuwa na msambwanda heavy weight.Nina kilo 80 nataka nifike 68
Muwe mnataja location ya haya makitu mnafaidi sanaView attachment 1550435
Breakfast
Ongeza kilo Mimi Nina 78 Ila najihisi Ni bonge [emoji2]Wakati mimi nina 56 upepo ukivuma nahofia kupeperushwa kweli dunia haina usawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee nyama sio nzuriitabidi nikugawie tu kilo kidogo,nina 85, nimewahi kuwa na 100 wakati nakula sana nyama
Wapi nitapata huuLeo nakula msosi wa kisupa! Sana sanaView attachment 1552197
Tatizo mi mvivu wa kula.Ongeza kilo Mimi Nina 78 Ila najihisi Ni bonge [emoji2]
Nini hiki?
PwezaNini hiki?
Binamu naona leo umepika