Alienda mbali akaweka picha
Na kweli amefaulu zoezi la kupunguza mwili
Nimeona picha yake,tips alizotoa hapo juu kweli zinafanya kazi..nakushauri dada fuata ushauri wake na matokeo utayaona.
Mimi pia nikaweka...kuna raia hawajapenda hii kitu ndiyo maana amefuta kila kitu.
Nadhani shida ni pichaIla watu bwana kwanini hawajapenda wakati kaelezea kitu kizuri?? Ngoja nimsearch nimPM anielezee uzuri yaani nikifika target sitokuja kunenepaaa tena
Na niliiweka as evidence that I know what I'm talking about, sio empty words tu. Been there, done that. So naelewa the struggle.Nadhani shida ni picha
Lakini ni Jambo la kunufaisha watu wengi mkuuNa niliiweka as evidence that I know what I'm talking about, sio empty words tu. Been there, done that. So naelewa the struggle.
I thought it would inspire, not offend others who might be struggling with weight. Hata mimi nilikuwa inspired by before & after pics za watu.
Ila kuangalia jina la uzi: Uzi wa vyakula tu. Nikaona nimekosea.
Kila kitu kina mahala pake sahihi. This was not the place.Lakini ni Jambo la kunufaisha watu wengi mkuu
Amini wenye uhitaji huo wanatamani wangeona na hawajaona..wasio na uhitaji wakusamehe wapite kimya
Binafsi sikuona Kama ni Jambo la kukera kwa Sababu si lazima mtu uangalie kila kitu..ukiona hakikufai si unapuuzia tu
Huu Uzi binafsi umenisaidia Sana na Kuna watu walinielekeza hapa kuhusu diet nzuri kwa watu wa vidonda vya tumbo na namshukuru Mungu nimepona.Kila kitu kina mahala pake sahihi. This was not the place.
Hivi kwanini chips ni tamu sana kuliko viazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ata sielew, me napenda chips mnooooHivi kwanini chips ni tamu sana kuliko viazi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Penda tu mama, hii dunia siyo yetu tunapita so kula uvipendavyoAta sielew, me napenda chips mnoooo
Iyo ni mayonnaise?
Mi mi mihongoIyo ni mayonnaise?
We jamaaa utakuwa mlaini
cant imagine mtu anafananisha mihogo na mayonaisse🤷♂️🙄Mi mi mihongo
Cha Cha chachandu
Ka ka kachumbari
Maziwa fresh
Mechi ya liverpool na chelsea?View attachment 1575181
Mechi inakaribia