The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Happiness hakika utakua mchaga
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mhmh sawa, basi utakua wa kanda ya ziwa[emoji2]Ai Jamanii, napenda tu ndizi nyama
ππππ haa bora nikubali Kaskazini yaishe[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mhmh sawa, basi utakua wa kanda ya ziwa
And what wl u call this menu??View attachment 1570782
Jana hii[emoji115]
View attachment 1570783
Leo nikale wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tupo jirani kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haa bora nikubali Kaskazini yaishe
Hii mboga na ugali ni tatizoMboga[emoji847] View attachment 1579682
Kwa nini mkuu?Hii mboga na ugali ni tatizo
Sikipendi hiki chakula mwenzenu nakula nisife tu
Lizzy unaonekana unapenda ubwabwa kama mimi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee kwanini?Sikipendi hiki chakula mwenzenu nakula nisife tu
Swali lako linafikirisha sanaAisee kwanini?
Hamna mbona rahisi tu,Swali lako linafikirisha sana
Kwa mfano ungekuwa wewe ungejibu vipi?Hamna mbona rahisi tu,
Vingine nnavyopenda vinatia uvivu kupika ππLizzy unaonekana unapenda ubwabwa kama mimi
Mboga pekee ya kulia ubwabwa ni maharage tu baaas [emoji23] na hapo ndio unakuwa umefanya matumizi sahihi ya mchele[emoji1787]Vingine nnavyopenda vinatia uvivu kupika [emoji85][emoji85]
Alafu uzuri wa ubwabwa waeza kula na mboga yoyote.
π€π»π€π»π€π» ππMboga pekee ya kulia ubwabwa ni maharage tu baaas [emoji23] na hapo ndio unakuwa umefanya matumizi sahihi ya mchele[emoji1787]
Rojo moja matataKwa nini mkuu?
Ningejibu sili chakula hicho au sipendi chakula hicho kwasababu hii na hiiKwa mfano ungekuwa wewe ungejibu vipi?