La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 471
- 737
Nyoka au mb*o za ng' ombe?!!Karibuni Mishikaki ya Nyoka.
Hapa nimepaelewa...sitoki leteni na kuku wa kukaanga mkuu.
Hapa nimepaelewa...sitoki leteni na kuku wa kukaanga mkuu.
Haya nilikuwa nakula sana nipo Chuo Cha Moshi (MUCCoBS). Kwa mia tano siku inaisha
Mia tano unapata kuku?Haya nilikuwa nakula sana nipo Chuo Cha Moshi (MUCCoBS). Kwa mia tano siku inaisha
Happy New year
Ndo tunaanza mwaka ivi ,kinyumbaninyumbanDaaah cha hotelin au wapi??