Sio fresh chifu.Kumbe hii ndiyo Instagram account yako ya misosi,View attachment 1593323
Nmeiona vant hapo mkuu.kuna usalama kwel
Nyama chache mkuu
Siwezi kula zaidi ya vipande hivyo kwa mlo mmojaNyama chache mkuu
🤣🤣🤣🤣Nmeiona vant hapo mkuu.kuna usalama kwel
Acha kulia gizani.Kuna siku utakula konokono kama mzee Tolu(kitabu cha darasa la pili)
Tolo Alia gizani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kulia gizani.Kuna siku utakula konokono kama mzee Tolu(kitabu cha darasa la pili)
Mzee Tolu alilia gizani ili wana familia wasimuone,akaishia kula konokono.Uchoyo ni noma sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tolo Alia gizani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha enzi hizo miongo 30 iliyopita[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu siyo "Tolu"Mzee Tolu alilia gizani ili wana familia wasimuone,akaishia kula konokono.Uchoyo ni noma sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]