Uzi wa vyakula tu

Dada mtaalam..naomba uliza swal.kuna siku mchepuko nilienda kwake akanipikia kuku.wali harage na mboga flan ya majan ilikua nadhan chinese ile ila sasa ule utam sjawai kula mboga tam kama ile..sjui aliweka maziwa mule sjui nn...kila nikimuuliza recipe anasema nimuoe atanambia....ilikua na ka usukar kwa mbaal...halaf nzito. Heb nisaidie labda unaelewa
 

Sema nyege nazo hupumbaza ety, pengine msosi ulikuwa ni wakawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…