Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
maili 11000 mama nipae na ungo labda,nakujaKaribu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli Mama anajua kulisha.Analisha sana ila hata chura haiji![emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahamaili 11000 mama nipae na ungo labda,nakuja
Nipo hapahapa sawasawa ( in Tundu voice)😅😅😅🏃🏻Hahaha
Haupo bongo nini boss
[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hapahapa sawasawa ( in Tundu voice)[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1322]
Haragwe unaweka sukari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwenye makande sawa ila haragwe ni matumizi mabaya ya rasilimali[emoji28]
Labda nina ushamba ulionizidi, ila sukari kwa maharagwe hapana aisehh nooooooo[emoji13][emoji13]Hujui kula wewe [emoji23][emoji23][emoji23] jaribu uwone utamu wake
Utahudhuria???😏😏Naona unataka unaandaa darasa la mapishi
Itabidi siku moja nije nikutoe, tupitie maeneo ukaonje supu ya pweza! Au unasemaje!?[emoji2986]Pweza hata sijawahi kula
Sijui hata ananogaje
Ugomvi sio lazima mpaka mtu arushe ngumi! [emoji2954][emoji2954][emoji2954]