Ugomvi wangu huu [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji847][emoji847][emoji7]View attachment 1622114View attachment 1622115
Mazoezini[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikitoka hapo Kama natoka jogging
Anayehitaji nimsukumie chapati
Yeahhh. Unapenda???Wow!
Hizo ni bamia?
Yeah! Napenda sanaa yaani hapa adi mate yananitokaYeahhh. Unapenda???
Kabisa mimi tena, nikikosa mimi usifundisheUtahudhuria???[emoji57][emoji57]
Pole kwa kukutamanisha dingimtoto 😔😔Yeah! Napenda sanaa yaani hapa adi mate yananitoka
🤣🤣🤣 basi ukiwa tayari ndo uniambie darasa lianze 🤗Kabisa mimi tena, nikikosa mimi usifundishe
Nahitaji kujua nyama kuwa nyekundu hivyo nini kimetumika?#Kulakwaafya!View attachment 1623431
Aisee! Sijui ni viungo gani maana mimi simtaalamu wa viungoNahitaji kujua nyama kuwa nyekundu hivyo nini kimetumika?
Nipo tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi ukiwa tayari ndo uniambie darasa lianze [emoji847]
Haya chagua tuanze na nini.....🙂Nipo tayari
Tuanze na chochote unachokipenda sana kula, mwanafunzi nataka nikifika nyumbani nikorofishe madikodikoHaya chagua tuanze na nini.....[emoji846]
Tuanze na chochote unachokipenda sana kula, mwanafunzi nataka nikifika nyumbani nikorofishe madikodikoHaya chagua tuanze na nini.....[emoji846]