Uzi wa vyakula tu

Hongera sana,

Mwanamke asiyejua kupika ni mzigo mzito sana kwa mumewe na jamii kwa ujumla.
 
Karibu sana mikate ya upawa ya kizenjii huko wenzetu mnaita chapati za maji, kwa roast la chagu [emoji7]
Wewe ni mzenji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wazenji na mapishi yenu ni hatari, mnapikaga vibarazani nyei hamtaki mambo ya jikoni
 
Kumbe upo vizuriiii ohhhh such a nice girl [emoji1464], ngoja tupange ratiba basi ole wako uunguze maandazi[emoji2296] sitakupa zawadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi huwa siunguzi kabisa labda maharage tu maana huchukua muda mrefu kuiva mpaka nasahau[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…