Unakeep figa sioBaba mjengo leo sijapika, nimekula matunda tu
Baba mjengo leo sijapika, nimekula matunda tu
Unapenda kula wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji847]View attachment 1632165
Hapa ingepatikana supu ya mbusi wee!
Bagia za kundemkuu nini hizo ?
Eehwaa, hivi umepotelea wapi Au kwenye Maua.?😆Unakeep figa sio
Eeh, sasa nikikonda Fundi maiko ataniheshimu kweli😀😀....Nimebadilisha tu menu.!Kula japo hata matunda uongeze kinga ya mwilini, halafu mambo ya kujikondesha sipendi si unajua napenda nundu/ngongingo
Weeee huyo fundi maiko mbona atanikoma akitamani vya watu, umwambie kabisa nina bonge la bastola, nundu muhimu eti mama la mamaEeh, sasa nikikonda Fundi maiko ataniheshimu kweli[emoji3][emoji3]....Nimebadilisha tu menu.!
Wekeends for fruits
Clarity nipe ujuzi wa hii kitu
Alooh mkwara mpaka na mimi naogopa...Nundu muhimu, kitambi je.?Weeee huyo fundi maiko mbona atanikoma akitamani vya watu, umwambie kabisa nina bonge la bastola, nundu muhimu eti mama la mama
Mambo ya pwani haya![emoji39]
Mambo ya pwani haya![emoji39]
Kitambi sio ni mwendo gym, ili show iwe bampa to bampaAlooh mkwara mpaka na mimi naogopa...Nundu muhimu, kitambi je.?
Weweeeee una hatariiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna kitu unajitafuta wewe, endelea kuzijaza mama