dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
😅😅😅kwani jiraniUpo kwenye uzi wa mapishi utazidi kuwa chibonge, utakua muda wote unatamani kula
TH unaishi wapi nije?Bila kusahau ile kitu unapenda[emoji6]View attachment 1635092View attachment 1635093
😀😀😀njoo huku Moshi ufaidiTH unaishi wapi nije?
Sema nimeshajua wewe mvivu kupika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijapita humu siku hizi mbili, nakusalimia sana kipenzi changu[emoji3][emoji3]ai Jamani ni vile wiki hii niko safarini ndio maana nakula hivyo