View attachment 1637278
Nawakeraaaa kidogo
Nani anayajua haya matunda?View attachment 1637813
Kumbe sukari huleta kisukari.. interestingMdogo wangu sukari kila sehemu unaepukaje kwa wagonja wa kisukari, punguza matumizi ya sukari
Kwahiyo lugha ya kabila letu tunaita mafwisa..Yanaitwaje? Ndani yakoje?
Mi siyafahamu ila napenda sana matunda.
Tafadhali tufaamishe,me siyajui ingawa yanavutia kwa njeNani anayajua haya matunda?View attachment 1637813
Kwahiyo lugha ya kabila letu tunaita mafwisa..
Kiingereza "giant yellow mulberry or monkey fruits"
Ndani Yana mbegu yake kubwa katikati..yanaliwa,unabandua hivyo vipande ,unakula kimoja kimoja kama unanyonya..utamu ukiisha unatupa peke.
Maelezo yake hayo juu
Hizi kuku zitakua ni tamuuu balaaa
Mambo matamu haya, halafu mchele uwe wa mbeya hatari ingine hiyo
Nilishakulaga haya sema sikumbuki jinaNani anayajua haya matunda?View attachment 1637813
Lizy darasa la mapishi limeishia linatakiwa liendelee,
Sukari haileti sukari ila ukishaipata ni ngumu kuitibu maana unakua umeshazoea vitu vyenye sukari, kinacholeta sukari ni insulin kushindwa kufanya kazi yake mwilini ,Kumbe sukari huleta kisukari.. interesting
Sio chakula ila ni tundaView attachment 1636308
Apple nalo si ni chakula ati eeh!? [emoji12]
Hivi kumbe tupo mikoa karibu karibu hivyo ni swala la masaa mawili tu [emoji13][emoji13],[emoji3][emoji3][emoji3]njoo huku Moshi ufaidi
[emoji3][emoji3]Nashangaa Na mimiHivi kumbe tupo mikoa karibu karibu hivyo ni swala la masaa mawili tu [emoji13][emoji13],
Usishangae mambo yatakua mazuri zaidi[emoji3][emoji3]Nashangaa Na mimi