Umenitenga sasa mama mjengoBaba mjengo niko migombani pilika pilika si unajua tena.![emoji847]
Unaonja jikoni, mpishi hatari weweFresh from my kitchen..View attachment 1658439
ngano nusu, mafuta ya kukandia vijiko viwili, sukari vijiko vi3 chumvi pinch, baking powder pinch,iliki vipunje vitano,hamira nimekadiria,
Chakula hiki kimenivutia sana. Napenda sana ugali, dagaa + nyanya chungu na Bamia.
Vyakula vya kike
MimiView attachment 1659395
Nani hapendi pweza!!!!?
Tanga bhana..[emoji3][emoji3]View attachment 1659394
Kimekuchaaa [emoji13]
I can't breathView attachment 1650847
View attachment 1650848
View attachment 1650849
View attachment 1650850
View attachment 1650851
View attachment 1650852
View attachment 1650853
View attachment 1650854
View attachment 1650855
Biriani ya prawns
Naan bread
Chicken karahi
Sambusa
Katles
Kachori
Wings
Salad
Maandazi
Chatne
Kazi ya mikono yangu Kila kitu
[emoji1787] [emoji1787] Tatizo hujaniita mamaaaBaba mjengo niko migombani pilika pilika si unajua tena.![emoji847]
nikikuita utakuja kweli wewe[emoji3][emoji1787] [emoji1787] Tatizo hujaniita mamaaa
Mdada hujambo! hujatimiza ahadi[emoji2986][emoji2986]View attachment 1659394
Kimekuchaaa [emoji13]
Harufu ya viungo vya pilau imeniita mama ahsante kwa pilau na kapilipili, yani umejua kunibakisha nyumbani, tuagize na mbege basi.nikikuita utakuja kweli wewe[emoji3]View attachment 1660752
Mbona hutuwekei mbege na ile kichuri ba mjengo,tule kwa macho😄Harufu ya viungo vya pilau imeniita mama ahsante kwa pilau na kapilipili, yani umejua kunibakisha nyumbani, tuagize na mbege basi.