Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Finito..BAADA YA MUDAView attachment 1666241
Yaani xmas ule ugali badala ya pilau?😬😬😬[emoji39][emoji39]ntapika x_mass
Ee ugali shida ipo wapi hapoYaani xmas ule ugali badala ya pilau?[emoji51][emoji51][emoji51]
V&A [emoji39]Members only baada ya kula msosi mgumu au mlaini kipi kihusike hapoView attachment 1664819
Teh teh tehV&A [emoji39]
Hili kitimoto la pale kwa kipemeJioni janaView attachment 1666239
Tunda la peponi hilo[emoji3][emoji3][emoji3], ndio tumalize kwanza mjengo, halafu mwakani tarehe kama hizi tuvae kitanzi[emoji1787]
Karibu tundaView attachment 1662304
Hahahahah maana ya finitoFinito..
Kipeme ni WAPI mrHili kitimoto la pale kwa kipeme
Mitaa yangu ya Mbezi, Baraza la mtiani, kuna jamaa bingwa wa roast la kitimoto.Kipeme ni WAPI mr
Sehemu ganiMitaa yangu ya Mbezi, Baraza la mtiani, kuna jamaa bingwa wa roast la kitimoto.
Mbezi africana jogooo mwisho au wapiMitaa yangu ya Mbezi, Baraza la mtiani, kuna jamaa bingwa wa roast la kitimoto.
Mbezi juu Baraza, mkuu.Mbezi africana jogooo mwisho au wapi