Kwishney...ukiona manyoya?Hahahahah maana ya finito
January ipo na heshima yake.. mlenda huo
Hizi bamia zimeiva sana. Napenda sana bamia mimi
Dah aisee, bonge ya msosi
HAPPY NEW YEAR 2021
hahahahahaha
Pamoja nawe kaka[emoji1545][emoji1545][emoji322][emoji322]HAPPY NEW YEAR 2021
Ntamu sana...Karibuni hapa na fanda baridiiiii my day is madeView attachment 1669916
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hizo ni dagaa zimeanza kuliwa jikoni [emoji23]mbona kachumbali na samaki ndogo, yaani nimekitamanii mwee[emoji28]
Harakati za magetoni na Ollachuga Oc[emoji3][emoji3]View attachment 1663325
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Upo vizuri binti, hii wapi home made au???Karibuni hapa na fanda baridiiiii my day is madeView attachment 1669916
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hakika [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1670014
mambo niyapendayo