Hahahaha maji itafaa eti ehNitumien hata glass ya maji
Hii kibachela zaidi...Karibuni wapendwa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ahsante ankoo
Karibuni fresh from jikoni
[emoji511] [emoji317]
Mkuu kama naiona strawberry hapo! Hovi kwa hapa Dar wapi naweza kupata haya matunda?
Mkuu kama naiona strawberry hapo! Hovi kwa hapa Dar wapi naweza kupata haya matunda?
Thanks alotHaya matunda nenda supermarket kubwa au soko la kisutu
Karibuni...tarehe si rafiki...it's January
Karibuni fresh from jikoni
Yaani ukiangalia hii Page unatamaki kula tu haha itabidi nipite sehemu nipate mishikaki π
Hii sasa sifa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sio homemade...ni hotelini
Mie naomba na vya diet jamani kuku choma, samaki choma ,nyama choma ,matunda nk nkπ
Hii mko wangapi Mkuu ?
Sio homemade...ni hotelini