Yalaah!![emoji2296] Wallahy wikiend haiishi sijapata hii kitu
Hii yenyewe mkuu!! Hapo ukishushia na maji mengi!!!
Mapema unaenda mzigoniView attachment 1695749
Karib mtemiDah misosi yangu hii
Pia unaoa ili unywe kwenye kisima chako mwenyewe.Kama wahuni wanaoa ili wapikiwe msosi mzuri mie sioi kwakweli.
Maana napika mpaka najistuka muda mwingineView attachment 1694469
Ili tunda sikuhizi linaota mpaka sehem za joto ko usijali.Pia unaoa ili unywe kwenye kisima chako mwenyewe.
Hii ni starter au ndio"imeisha hiyo"?Hili hapa iliView attachment 1695899
Ili tunda sikuhizi linaota mpaka sehem za joto ko usijali.View attachment 1695932
Imeisha hiyo....Hii ni starter au ndio"imeisha hiyo"?
Kama hii hapa.Naruhusiwa kupost kitimoto?
Jekundu sana kama limelika tiariHalafu jekunduu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu naomba leo niwe mgeni wako twafadwali![emoji39][emoji39][emoji39]Kama hii hapa.View attachment 1696019
Karibu bigMkuu naomba leo niwe mgeni wako twafadwali![emoji39][emoji39][emoji39]