Uzi wa vyakula tu

Hii ipo kibajeti zaidi,chips kavu ya buku na mchicha fungu la mia tano,ukipiga na maji glass moja lazima ucheue,Option nyingine ya hiyo ni chips kavu ya buku na miguu na utumbo wa kuku ya mia tano...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…