jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Napenda sana njegere zikiwekwa nazi au karanga.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545] tusalimie hukoUzi huu unatamanisha kinoma aisee, vyakula na nusu humu ndani hadi udenda wantoka wallahi, dah... Big up Mshana Jr. [emoji39][emoji39][emoji39]
Salamu toka nchi jirani [emoji3577]
Duh[emoji7][emoji8][emoji39][emoji39][emoji39]Lunchtime View attachment 1708269
Koma kutamani vya watu!😄Nimekitoa humu humuView attachment 1708289
Ha haaaa haaa. Eti nimeiokota humuhumuNimekitoa humu humuView attachment 1708289
Navyopenda chapati hii ndiyo funga kazi, pembeni imekosekana juice dahLunchtime View attachment 1708269
Hiyo pilipili umetengeza mwenyewe
Dah kinamvuto kinatia njaa sanaNimekitoa humu humuView attachment 1708289
Kareeb mkuu. Juice ipo kwenye freezer. Ha haaaa haaNavyopenda chapati hii ndiyo funga kazi, pembeni imekosekana juice dah
Nikija sitaondoka utanipa na blanket nilale kabisaKareeb mkuu. Juice ipo kwenye freezer. Ha haaaa haa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Acha uhuni, ulitaka nikila nisepe [emoji38][emoji38][emoji38], mzee wa matunguli[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Acha uhuni, ulitaka nikila nisepe [emoji38][emoji38][emoji38], mzee wa matunguli[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]