[emoji39][emoji39][emoji39]
Mlo uko mukideee, [emoji39][emoji39][emoji39]Kumekuchaaa [emoji39]View attachment 1709640
Nasukutua boga, nalishushia na maziwa wakati huo mkono mmoja unamenya yai,sijamaliza vizuri nshadaka chapati na gonga na juice,narudi kwenye maziwa na viazi ndio namalizia matundaKumekuchaaa [emoji39]View attachment 1709640
Unajitahidi kupika babuuh, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni nzuri inaonyesha inawasha na ina ladha [emoji106]Yes boss
Mkoo mtu tatu
Lizzy banah mambo yake ya moto ya moto safi
Dah unatuua kwa njaa.Mshana jr hii inakuhusuView attachment 1710495
Msosi unavutia! Ila huu ni ulafi mavitu yote hayo tumbo moja!!
Nimeielewa sanaMshana jr hii inakuhusuView attachment 1710495
[emoji3][emoji3][emoji3] si nimekusifia au? LolTangu lini mjukuu umeanza kumbeza babu?