TanteeeehHaya mjukuu barikiwa[emoji2957][emoji2]
Pic 1 : My fav dish
Ahaha huu msosi unaitwa n.k
Hii home made sio ipo vizuriTafadhari naomba ndimu[emoji39]View attachment 1710878
Upo vizuri bwana misosiKuchelewa kula sio tatizo ukiwa kwenye majukumu.View attachment 1710912
Eehh babaa mkono upo vizuri[emoji1531]
Kando uwe na glass ya juice ya passion hivi, basi dah,ku vurunya tu! πππ[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1710992
Ukitoka hapo laziim ukasaidiwe oxygen kama mgonjwa wa CovidMsosi unavutia! Ila huu ni ulafi mavitu yote hayo tumbo moja!!
MashaAllah [emoji1305]Weka chai unayotaka hapo.View attachment 1702808
Simuoni hapa kumbe ana red card[emoji1787]Mzee wa vyuku ukitoka kifungoni ukaribie huku View attachment 1711059
Zamani sana. Lol [emoji38]Simuoni hapa kumbe ana red card[emoji1787]