Mmh imekaa sawaDona,rosti, kisamvu na fish wa kulumangia.
Mchana mwemaView attachment 1712355
Wanasema Presentation matters
Iiih iiih iiiiiiii [emoji22]Sema neno moja tu na njaa itakoma.View attachment 1711855
Tumbo langu mimi.......Sema neno moja tu na njaa itakoma.View attachment 1711855
Ee kaka
Mmh hii kiboko nipe hata vya chumvi bas mamaWapenda sugar sukari wenzangu karibuni View attachment 1712519
Bado kitu cha 'White Cake' cha moto moto sasa, dah! ππSema neno moja tu na njaa itakoma.View attachment 1711855
After hapo kushukisha na juice ya ukwaju baridiiiii, waallahi moto wa kuotea mbali huu msosi! ππ₯ π₯ π₯
Nimeitamani sanaπ