Na typhoid na minyoo.[emoji17][emoji17][emoji17]. Mboga mboga hizo ndo hatari kuliko Vumbi lenyewe.
Hapa upate mtindi..ule og daah..mate yamenitoka kabisa.Dona,rosti, kisamvu na fish wa kulumangia.
Mchana mwemaView attachment 1712355
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ukila hivyo unashiba, lakini Epuka amoeba mama na hizi kachumbari
waoh nimepata njaa ghafla
ugali mkubwa kinomaDona,rosti, kisamvu na fish wa kulumangia.
Mchana mwemaView attachment 1712355
Aiiishhh hatari sana
Kula kwa macho [emoji2]waoh nimepata njaa ghafla
Kwa kweli ndio maana dawa zikawekwa Kuna vyakula vitamu aisee siwez acha kisa amoeba Mimi,dawa zipo ntashushia na maji Lita 5[emoji23][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ukila hivyo unashiba, lakini Epuka amoeba mama na hizi kachumbari
Sent using Jamii Forums mobile app
nimetoka kula chakula hakina msisimko najazia na picha zenuKula kwa macho [emoji2]
Hiyo inaitwa 2 in 1, huo unaliwa saa sita kasorobo shapu! Hadi usiku tutakapokazia na vijimatunda.ugali mkubwa kinoma
dah hongera unaepusha kitambiHiyo inaitwa 2 in 1, huo unaliwa saa sita kasorobo shapu! Hadi usiku tutakapokazia na vijimatunda.
Ila leo nimepunguza kipimo.[emoji1484]View attachment 1715512
La kongo we?View attachment 1714909
Chips Vumbi
Kitambi kinapunguza ufanisi kwenye nyanja mbalimbali, si vyema kukihodhi.[emoji1531]dah hongera unaepusha kitambi